MKUU WA WILAYA YA MAKETE JOSEPHINE MATIRO KUSOMA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI

Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro jumatatu Mei 20 mwaka huu anatarajia kusoma ripoti ya utekelezaji wa shughuli za serikali ndani ya wilaya yake kutoka Januari-Aprili 2013

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mkuu huyo, ataisoma taarifa hiyo kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete kuanzia saa tatu na nusu asubuhi, hivyo kuwataka wananchi wote na wadau mbalimbali kufika na kuisikiliza taarifa hiyo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo