KINACHOENDELEA MTWARA HIVI SASA HIKI HAPA

vurugu-mtwara-picha-3
vurugu-mtwara


vurugu-mtwara-picha

vurugu-mtwara-picha-0

vurugu-mtwara-picha-2

Updates za vurugu na kinachoendelea Mtwara leo 
tarehe 23 Mei 2013
  • Mwanamke anayekadiriwa miaka 25 mjamzito auawa kwa kupigwa risasi maiti ipo Ligula.
  • Mwanafunzi wa CHUNO afikishwa hospitali Ligula na majeraha ya risasi mguuni.
  • Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za Askari magereza na uhalifu ukifanyika vidole vinawaelekea Polisi.
  • Afisa Usalama wa Taifa ambaye anamiliki nyumba ya wageni naye amevamiwa na kuporwa mali ikiwamo fedha katika gesti yake. Haijajulikana ni kiasi gani cha mali kilichopotea.
  • Bofya hapa kwa updates zaidi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo