DORIA YA IDARA YA MALIASILI NA UTALII WILAYA YA MAKETE YAKAMATA MBAO 769 ZILIZOVUNWA KIHARAMU

Hizi ni mbao zilizokamtwa na idara ya maliasili wilaya ya Makete kutokana na doria waliyoifanya katika maeneo mbalimbali wilayani hapo, hii inaashiria kwamba misitu iliyopo wilayani humo inazidi kuteketea siku hadi siku, Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba mbao 769 zimekamatwa. Hongera wataalamu wa maliasili kwa kukamata mazao hayo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo