BALOZI FRANCISCO PADILLA NA ASKOFU LEBULU WAWATEMBELEA MAJERUHI WA BOMU JIJINI ARUSHA

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu, akitoa pole kwa majeruhi wa bomu jana , kushoto ni mwakilishi wa Papa hapa nchini, Askofu Francisco Padilla.
Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu mkuu Francisco Padilla akimjulia hali mmoja wa majeruhi alipotembelea hospitali ya mkoa ya Mount Meru jana kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa mlipuko katika tukio lililotokea jana wakati wa uzinduzi wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi , ambapo watu zaidi ya 60 walijeruhiwa huku wawili wakifariki dunia.
(Picha na Joseph Ngilisho)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo