BEI YA MCHELE YAZIDI KUSHUKA

Hatimaye bei za mchele zimeanza kushuka katika baadhi ya masoko hadi kufikia kati ya sh.1300 na 1700 kwa kilo toka sh.1800 hadi 2500 wiki moja iliyopita kufautia kuingizwa kwa mchele toka nje unaouzwa kwa bei nafuu ambao hata hivyo bado haujasambaa kwenye masoko mengi jijini Dar es salaam ambayo bado yanauza mchele kwa bei ya juu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo