YULE MAMA ALIYEMTUPA MTOTO HUKO LUDEWA HUYU HAPA

Muuguzi wa zamu katika hospitali ya wilaya ya Ludewa Bi.Eda Muhema akiwa na mtoto aliyetupwa baada ya mtoto huyo kuokotwa na kufikishwa hospitalini hapo akiwa salama
Huyu ndiye mama Magdalena Lugongo ndiye aliyemtupa mtoto wake baada ya kujifungua
 Bi.Magdalena Lugongo akiwa chini ya ulinzi katika kituo cha Polisi na mtoto wake aliyemtupa baada ya kujifungua
Bi.Magdarena Lugongo akiwa na Mgambo aliyemshika na kumfikisha kituo cha Polisi
 Picha zote na NIckson Mahundi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo