MVUA ZAKWAMISHA USAMBAZAJI WA VIFUSI TARAFA YA MATAMBA WILAYANI MAKETE


 Picha juu na hii zinaonesha Vifusi hivi ambavyo vipo katika barabara ya Matamba - Chimala ambapo nayo mvua zinakwamisha shughuli ya usambazaji kwenda harakaharaka
Vifusi vilivyopo katika barabara ya Matamba - Itundu vimeshindikana kusambazwa kutokana na mvua kubwa zinazonyesha eneo hilo, Kwa mujibu wa mkandarasi anasema hulazimika kufanya kazi kidogo mno kwa siku kutokana na mvua kunyesha mara kwa mara na kusababisha wao kushindwa kufanya kazi kutwa nzima!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo