Gari la kampuni ya Pepsi lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Makete likiwa limekwama kwenye kijiji cha Ivalalila tangu jana saa saba mchana kutokana na barabara kuharibika kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo
Iliwalazimu kushusha soda walizokuwa wamepakia kwenye gari lao lakini bado ilishindikana
Ilikuwa balaaa
Hadi naondoka eneo hilo majira ya saa moja na nusu asubuhi lori hilo lilikuwa halijafanikiwa kuondoka