LADY JAY DEE "AIPONDA" CLOUDS FM


Let just say, Lady Jaydee ameamua kujitoa muhanga kwa kuchukua uamuzi mzito wa kuishushia madongo ile aliyoiita Radio ya watu (guess leo joto na hasira vimempanda).Jaydee ametweet:

“Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira,” ametweet Jide.


Katika kile kinachoashiria kuwa yuko tayari kwa lolote Jaydee ameongeza kwa kutweet, “Kill me if u can. Am on fire, siogopi ng’oooooo jipangeni. Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhuru. Nakunywa maziwa daily, I will survive.”

“Anayedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn.Mnalishwa chungu na tamu na vyote mnakula. Vinyoka nyamazeni acheni Anaconda aongee.”


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo