GARI ALILOPATA NALO AJALI KATIBU WA NJOMBE PRESS CLUB HAMIS KASSAPA


Hili ni gari la Katibu wa chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Hamis Kassapa alilopatia ajali juzi Ijumaa Asubuhi maeneo ya Lungemba Mafinga Iringa wakati wakielekea Mkoani Iringa kwenye Semina ya Wanahabari juu ya Afya,alikuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe NJOMBE PRESS CLUB NPC Bwana Ellymathew Kika

Hadi sasa wote wanaendelea vizuri na tayari wamesharejea mkoani Njombe baada ya kufanyiwa 'Check up' katika Hospitali ya Wilaya ya Mufindi Mafinga Mkoani Iringa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo