ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE LINDI MJINI KATIKA PICHA

Mjumbe wa NEC, Mama Salma Kikwete akikagua bidhaa za wajasiriamali, alipotembelea eneo la Raha Leo, Lindi mjini leo Februari 17, 2013. akiwa katika ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa chama mkoani Lindi
Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kukabishiwa kadi zao na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika  leo FEB 17, 2013 katika Kata ya Raha Leo Lindi mjini.
Mjumbe wa NEC, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimsalimia mkazi wa Raha Leo Lindi mjini, Bella Linje, aliyekuwa kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika eneo hilo, leo, Februari 17, 2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Raha Leo Lindi mjini
Wananchi wakiuliza maswali.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo