Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchini Dr Emmanuel Nchimbi akitoka chumba cha
habari cha makao makuu ya jeshi la polisi kilimani zanzibar baada ya
kuongea na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari leo asubuhi
kufwatia tukio la kupigwa risasi leo asubuhi Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili
Zanzibar, Evarist Mushi na kufariki dunia,Padri Evarist Mushi alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa njiani anaenda kuendesha misa katika
Kanisa la Mt.Theresia eneo la Mtoni Zanzibar
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchini Dr Emmanuel Nchimbi akizungumza na
Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari leo asubuhi katika ukumbi wa
makao makuu ya jeshi la polisi kilimani zanzibar kutoka na tukio la
kupigwa risasi leo asubuhi kwa Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili
Zanzibar, Evarist Mushi na kufariki dunia,Padri Evarist Mushi alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa njiani anaenda kuendesha misa katika
Kanisa la Mt.Theresia eneo la Mtoni Zanzibar
Sehemu
ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakimsikiliza kwa
Makini Waziri wa mambo ya ndani ya nchini Dr Emmanuel nchimbo(hayupo
picha)alipokua akitoa taarifa ya serikali kufwatia kupigwa risasi leo
asubuhi kwa Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili
Zanzibar, Evarist Mushi na kufariki dunia,Padri Evarist Mushi alivamiwa na watu wasiojulikana akiwa njiani anaenda kuendesha misa katika
Kanisa la Mt.Theresia eneo la Mtoni Zanzibar