WAKRISTO WALIVYOANZA MFUNGO WA KWARESMA KWA KUPAKWA MAJIVU

Padri Joseph Masenge, akimpaka majivu kwenye paji la uso Richard Kombole, ikiwa ni ishara ya kuanza kipindi cha Kwaresima katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph,  Dar es Salaam leo. (Picha na blog ya mwaibale)
Padri Joseph Masenge, akimpaka majivu kwenye 
paji la uso muumini mwingine wa kanisa hilo.

(picha na blog ya mwaibale)
Mtawa Alphonana Daniel, akimpaka majivu muumini 
wa kanisa hilo
Mtawa Alphonana Daniel, akimpaka majivu, 
Irene Chumi
Waumini wa Kanisa hilo wakiwa wamejipanga foleni 
wakisubiri kupakwa majivu.
Padri Joseph Masenge,akiwapaka majivu waumini hao.
Padri Joseph Masenge, akimpaka majivu 
Michael Emanuel
Waumini wa kanisa hilo wakiwa nje wakisubiri 
kupakwa majivu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo