TASWIRA BUNGENI DODOMA

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla akijibu hoja ya Wizara ya  Mbunge Yussuf Haji Kahamis ( Nugwi ) hayupo pichani, kuhusu Serikali ina mikakati gani kwa wanamichezo wetu juu ya ugunjwa wa moyo, ambao ni tishio kubwa kwa maisha yao jana Bungeni- Dodoma.
 Mbunge wa Peramiho Jenista Mhagama akichangia na kuunga mkono hoja  ya Mbunge wa  Nzega  Dkt,Hamis Kigwangala ya kuita Serikali ianzishe mpango maalumu wa kukuza ajira kwa vijana kwa kuanzisha Mfuko wa Mikopo ya Vijana wanaowekeza kwenye kilimo na viwanda venye uhusiano wa moja kwa moja na kilimo, (Feb,1,2013 Dodoma).
 Mussa Zungu Azzan (ILALA) na  Mbunge wa Mafia Abdulkarim Shah (kulia)  wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge Dodoma.
Makatibu wa Bunge wakifuatilia hoja mbalimbali  katika  mkutano wa kumi Bungeni – Dodoma.
 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akichangia hoja katika Bunge- Dodoma.
 Mwingulu Nchemba( Iramba Magharibi)  wakizungungumza hoja mbalimbali na Ismail Rage (kulia) katika  viwanja vya Bunge- Dodoma jana.
 Wabunge  kuanzia (kulia)  Hezekiah Chibulunje (Chilonwa),Said Arfi (Mpanda Mjini) na  Mohamed Missanga ( Singida Magharibi)wakisikiliza maelezo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na benki ya NMB nchini kutoka kwa  Meneja mikopo wa NMB, Susan Shuma(kushoto) katika maonyesho viwanja vya Bunge – Dodoma.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo