Wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama wote kwa pamoja kupinga hoja Bungeni
Naibu
Spika Bunge,Mh. Job Ndugai (kulia) akionyeshwa makabrasha na Mbunge wa
Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari muda mfui baada ya kuahurishwa kwa
kikao cha Bunge leo.
Mnadhimu
Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Tundu Lissu (kulia} akijadiliana
jambo na Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai nje ya ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma leo.Wengine ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mh.
Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa. (picha na
Mwanakombo Jumaa - Maelezo.)