Waziri
wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza na kuzindua wimbo
maalum wa NSSF uliotungwa na Wasanii hapa nchini wajiitao All
Stars,mbele ya wadau waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akifafanua jambo kwa umakini mbele ya Wadau zaidi ya 1000 kutoka
sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, kwenye mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike..
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori akifafanua jambo mapema leo asubuhi wakati mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,ukiendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Meneja
wa kanda na anaeshughulikia Idara mbalimbali za serikali kutoka
NSSF,Rehema Chuma akifafanua namna ya uendeshaji wa shirika hilo kwa wadau waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akichangia moja ya mada zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo
Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Harold Sungusia akichangia moja ya mada zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo
Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Sehemu ya Meza kuu ya mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Pichani juu ni wadau mbalimbali wakifuatilia mkutano
Pichani shoto ni Meneja Mahusiano wa PPF,Lulu Mengele na mdau mwingine wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano huo unaoendelea hivi sasa.
Pichani
shoto ni Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA),Mh Joseph Mbilinyi
a.k.a Sugu akiwa sambamba na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh Joshua
Nasari (CHADEMA) na Wadau wengine wakifuatilia yanayojiri hivi sana
kwenye mkutano wa NSSF.
Baadhi
ya Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali wakifuatilia yanayojiri
ndani ya mkutano wa NSS unaoendelea hivi sana ndani ya ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha
Pichani shto ni Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mkoani Njombe,Mh Deo Filikunjombe (CCM) akiwa na baadhi ya Wabunge Wenzake wanaohudhuria
mkutano huo wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri ndani ya
mkutano huo ambao umewakutanisha wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu
mbalimbali jijini Arusha.
Mwenyekiti wa kikao cha awamu ya kwanza cha Mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Daudi
Msangi akitoa utaratibu kwa Wanachama na wadau mbalimbali waliohudhuria
mkutano huo unaoendelea ,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha,kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza jambo na Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori mapema leo asubuhi kabla ya kuanza kwa mkutano wa
shirika hilo.
Mmoja
wa wajumbe wa NSSF,Peter Sumbi aliyekuwa akifanya kazi shirika la
Wildlife Fund akitoa ushuhuda wake,namna alivyopata ajali na kufanikiwa
kupata fao lake la ajali kazini kutoka kwa shirika la NSSF na hatimaye
kufaidi matunda kupitia mfuko huo.






















