KIKOSI CHA JESHI WANAMAJI TANZANIA WATEMBELEA MELI YA KIRUSI YA KUPAMBANA NA MAHARAMIA

 Meja wa jeshi la wanamaji la Urusi aliyejitambulisha kwa jina la But, akimsikiliza  mmoja wa askari wa  jeshi la wanamaji Tanzania  wakati alipokuwa akimuliza swali kuhusiana namatumizi ya  bunduki ya kisasa wanayotumia katika kufanya ulizi wa kupambana na uharamia katika bahari ya hindi wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
 Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi Admiral Vdovenko akiwaonyesha  wanajeshi wa jeshi la maji la Tanzania moja ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kupambana na uharamia uanaofanya na magaidi katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi wa tanzaania walipotembela katika meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari20 2013.
 Wanajeshi wa jeshi la wanamaji la Tanzania wakijaribu bunduki  huku Luteni  wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff   akiwapa maelezo juu ya siraha hzio ambazo zinatumika katika kupambana na uharamia baharini wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana  februari 20 2013.
 Wanajeshi wa jeshi la wanamaji kutoka Urusi wakinyenyua moja ya bunduki wakati walipokuwa wakitoa elimu kwa wanajeshi la wanamaji la Tanzania wakati walipotembela katika meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
 Luteni Kanali wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff   (kushoto)akiwaelezea wanajeshishi wa Jeshi la Wanamaji wa Tanzania  jinsi moja ya  vifaa vya kivita wanavyotumia katikai ulizi wa kupambana waharamia wakati wanapofanya doria baharini. wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
 Luteni  wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff   (watatu kutoka kulia)akiwaelezea wanajeshishi wa Jeshi la Wanamaji  nchini jinsi nchini yao inavyofanya ulizi wa kupambana na waharamia kwa kutumia herokpta wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana  februari 20 2013.
Mkuu wa msafara wa meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  Admiral Eremin (katikati) akitoa elimu  kwa wanajeshi wa jeshi la Wanamaji la Tanzania juu ya kupambana na maharamia katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi hao walipotembela  katika meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana  februari 20 2013.kulia ni Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi Admiral Vdovenko na kushoto ni Luteni  wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff.(Picha zote na Mroki Mroki)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo