JAMAL MALINZI ATOA YA MOYONI

 Aliyekuwa Mkombea wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na baade kuenguliwa kugombea nafasi hiyo na Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi huo, Jamali Malinzi anazungumza hivi sasa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na uamuzi huo na kusema kuwa maamuzi hayo ameyasikia tu kwa vyombo vya Habari lakini hadi sasa hajapata barua rasmi. Vile vile madai yaliyotolewa hadi kuenguliwa kwake sio  sahihi kwani sifa zote anazo.
Wanahabari ambao ni wapigapicha kutoka vyombo mbalimbali vya Habari vya ndani na Kimataifa, wakichukua picha wakati Malinzi akizungumza hii leo.
Malinzi akijibu maswali ya wanahabri hao.
Wengine walisogelea spika kunukuu maneno yake.
Waandishi mbalimbali wa habari wakimsikiliza kwa makini maelezo ya Jamali Malinzi juu ya hatua iliyochukuliwa na Kamati ya Rufaa ya uchaguzi wa TFF chini ya Mwenyekiti wake Idd Mtinginjola.(Picha na FK Blog)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo