Picha hizi zinawaonesha vijana wawili ambao niliwakuta wakiwa wamening'inia kwenye lori ambalo limepakia katapila, eneo la Kimara barabara ya Morogoro! Vijana hao wanaendelea kupiga stori bila kuhofia madhara yatakayoweza kuwapata kutokana na kuning'inia kwenye lori hilo


