Hii ndiyo chemba ya maji iliyopo pembezoni mwa soko la ndizi la mabibo ikiwa inatiririsha maji machafu baada ya kupasuka, maji hayo ni machafu yanayotoa harufu mbaya hali inayotishia usalama wa wakazi hao hasa wanaofanya biashara ya ndizi na vyakula
HII NI HATARI KWA WAKAZI WA ENEO HILI
By
Unknown
at
Friday, February 22, 2013