BUNGENI KWAWAKA MOTO, KIKAO CHAVUNJIKA



Hali ya  bunge la Jamhuri  ya Muungano  wa Tanzania  si shwari baada ya  wabunge  wa CCM na Chadema  kuvutana  bungeni  sasa .

Hivi  sasa mwanasheri mkuu  wa serikali ameingilia kati  kwa  kutoa japo  uwezekano  wa kuongea umekuwa mgumu baada ya wabunge wa Chadema  kufanya  vurugu  kubwa kwa kuimba CCM! CCM!,CCM !!

Hadi  sasa hali  imeendelea  kuwa tete katika ukumbi  huo wa  bunge  baada ya  wabunge  kugomea hoja hiyo ya mbunge wa jimbo la Ubunge John Nyika na bunge  kuhairishwa na bunge limevunjika hadi kesho asubuhi 
Fuatilia..!
                                                      source http://dodoma-yetu.blogspot.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo