Wafanyakazi zaidi ya 30 wa Kiwanda cha MAZAVA kilichopo
MSAMVU Mkoani Morogoro wamepoteza fahamu baada ya kukosa hewa kufuatia
shoti ya umeme kutokea kiwandani hapo na kusababisha moshi mwingi
CHANZO:ITV BREAKING NEWS
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi