Ilikuwa ni kazi ngumu lakini tunamshukuru Mungu tulitoka salama,Baada ya tairi mbili kupasuka gari ilikosa mwelekeo lakini dereva aliweza kupambana vilivyo na hatimaye gari ikasimama ila du tunamshukuru Mungu(Picha na Augustine Mgendi wa blog ya mwanawaafrika)
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 16, 2026
5 hours ago