Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya
wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua
chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013. Barabara hiyo, yenye urefu wa kilomita
10.1 inaanzia makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Bagamoyo hadi
njia panda ya kwenda Africana karibu na uwanja wa kulenga shabaha wa
JWTZ Mbezi Beach
Vijana Jazz Band wakipamba moto kwenye hafla hiyo
Waheshimiwa Madiwani wa Kinondoni katika hafla hiyo
MC Ephraim Kibonde akiwa kazini
Sehemu
ya barabara iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akienda kutoa hotuba yake
Meya
wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkaribisha Rais Mwai kibaka na
Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uzinduzi rasmi wa jina
la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya
Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda aongea
Sehemu ya uzinduzi rasmi
Meya
wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkabidhi zawadi ya kasha la
Zanzibar Rais Mwai kibaki huku Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akishuhudia katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Rais Mwai kibaki akimshukuru Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kwa kumkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar
Rais
Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya
wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi jina la Barabara ya
Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
Rais
Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya
wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akizindua rasmi jina la Barabara
ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo
leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na
iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Vifijo kwa wingi
Hongera Mzee Kibaki anasema Rais Kikwete
Mstahiki Meya ampongeza Rais Kibaki ambaye naye anamshukuru kwa heshima hiyo
Mzee ubarikiwe anasema Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli baada ya uzinduzi huo
PICHA ZOTE NA ISSA MICHUZI