Meya wa Manispaa ya Songea Charles Mhagama baada ya kukesha usiku kucha katika kuandaa mazishi ya aliye kuwa mwenyekiti wa CCM Ahamed Didhumba hapo uzalendo umemshinda ana chapa usingizi
Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwa katika eneo la Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Songea
Mamia ya waombolezaji wakiwa katika Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Songea
Waziri wa Mambo ya ndani Dr Emanuel JohnNchimbi akiwa eneo la Luhilama kaburini aliyesimama naye ni Katibu wa Mbunge jimbo la Songea Andew Chatwanga
Viongozi mbalimbali wa chama na serikali waliohudhuria mazishi ya Ahamed Dhizumba aliye kuwa mwenyekiti mstahafu wa CCM Wilaya ya Songea
Mwili wa Marehemu Ahamedi Didhumba Ukiteremshwa kaburini maeneo ya Luhila manispaa ya Songea
VIA http://songeahabari.blogspot.com