Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anajadiliana jambo na
Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa baada yakushuka katika ndege
uwanja wa Dsm wakitokea Dodoma Mh Pinda alikuwa Dodoma ambako alifungua
mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Serekali za Mitaa nyuma
yao ni Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa (TAMISEMI)
Mh. Hawa Ghasia wakiwa na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Jordan
Rugimbana ambaye alikuja kumpokea waziri mkuu uwanjani hapo picha na
chris mfinanga