skip to main |
skip to sidebar
WATOTO WATANO WALIOKWENDA INDIA KWA MATIBABU YA MOYO WAREJEA
Watoto watano kati ya 38 waliokwenda nchini India
kupatiwa matibabu ya moyo wamerejea nchini wakiwa na afya njema huku
wazazi na Walezi wao wakiitaka serikali kufanya jitihada za kupata
huduma hiyo hapa nchini na kwa gaharama nafuu.
Wakizungumza katika
uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere baadhi ya wazazi wameshukurukwa
msaada huo huku mwenyekiti wa hospitali ya Regency Dk Rajni Kanabar
ambayo imehusika kusafirisha watoto hao akielezea hali za watoto
waliobaki nchini India
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi