Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela akiongea na Wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba aliokutana nao leo (Alhamisi, Jan 17, 2013) kutoa
maoni yake kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu
Mstaafu Augustino Ramadhani na Mjumbe wa Tume Prof. Mwesiga Baregu.
HALI YA ULINZI NA USALAMA NI SHWARI NCHINI-POLISI
37 minutes ago