Baadhi ya wabunge
wakifuatilia maswali na majibu katika kikao cha mkutano wa kumi mjini Dodoma
leo.
Mbunge wa(
Monduli )Edward Lowassa (kulia) akimsikilza Mbunge wa Bariadi Mashariki, John
Cheyo, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo,
Naibu Waziri Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia , January
Makamba, akijibu hoja za wabunge zinazohusu wizara yake Bungeni mjini Dodoma leo.

Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (kulia) na Mbunge wa
kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia, wakifuatilia masuala mbalimbali Bungeni leo mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge
wakisalimiana baada ya kuahirishwa kwa
kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.Picha na Mwanakombo
Jumaa-MAELEZO