KIKAO CHA DHARURA CHA BARAZA KUU LA CHADEMA KATIKA PICHA

 Mbunge wa Ubungo John Mnyika akitete jambo na Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willbroad Slaa (kulia) wakati wa Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Mbunge Kigoma, Zitto Kabwe akiwasikiliza kwa makini wajumbe wa kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kutoka mkoa wa Mtwara.
 Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akiwa amepozi na baadhi ya wajumbe.
 Baadahi ya wabunge wa Chadema wakiwa katika kikao hicho.

 Kazi imeanza
 Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei akiingia katika ukumbi wa mkutano huku akifuatana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
 Wajumbe wa mkutano.
 Katibu Mkuu Dk. Willbroad Slaa akizungumza katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo
 Wajumbe wa Kamati Kuu.
 Peoples Power
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanchama wa chama hicho aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Clemence Tara baada ya kujiunga na chama hicho.
 Pokea katiba ya chama cha Chadema
 Bidhaa mbalimbali zenye nembo ya Chadema zikiuzwa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo