Katibuwa Taasisi ya The john mashaka Bi, Rabia Bakari akiungumza kwa ajili ya
kufungua mkutano wa waandishi wa habari na wawakilishi wa vyama vya
watu wenye ulemavu ili kujadili kwa pamoja kwa ajili ya ustawi wa wenye
ulemavu na wengine wasiojiweza
Mwenyekiti
wa TUSPO Bw. E LLEZER Mdakima kushoto akizungumza wakati wa mkutano huo
wengine kulia ni Mjumbe wa Taasisi ya The John Mashaka Bi, Latifa
Masasi na Katibu wa taasisi hiyo Bi, Rabia Bakari
Baadhi ya watu wanaotafsili lugha za alama wakiendelea na kazi hiyo wakati wa mkutano
Baadhi ya wawakilishi wakisikiliza kwa makini