Hali ya matope ilivyo katika stendi ya mabasi mkoani Njombe licha ya ushuru kukusanywa kila siku, hii hali imekuwa ikishangaza wengi kwa kuwa moja ya kazi ya ushuru unaokusanywa stendi hapo ni kuboresha stendi hiyo lakini wakati wa masika kama sasa hali huwa hivi, jamani hii hali hadi lini?
Hili eneo limeachwa wazi, magari yaeokwepa 'kupaki' kwenye eneo hilo kutokana na kujaa tope
Hali hiyo ya matope siku moja huenda ikasababisha magari kuonekana kama hili hapa


