Mkuu wa mkoa wa Njombe Asseri Msangi akiwa kwenye ofisi za CCM wilaya ya Makete, Kushoto kwake ni mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete Francis Chaula
Chanzo cha maji kilichopo kata ya Matamba wilayani Makete ambacho kimetembelewa na mkuu wa mkoa
Hapandi mlima Kilimanjaro, bali mkuu huyo wa mkoa akielekea kukagua shamba darasa la mahindi ma viazi katika kata ya Matamba
Mkuu wa mkoa Asser Msangi akipata maelezo kuhusu kilimo cha mahindi katika shamba alilolikagua
Hili ndilo shamba la mahindi alilolikagua mkuu wa mkoa
Shamba la viazi ambalo pia amelikagua
Mkuu wa mkoa wa Njombe Asseri Msangi pia alikagua ujenzi wa daraja lililopo katika tarafa ya Matamba, na ujenzi huo bado unaendelea
Ohhhhhhhhh! baada ya ukaguzi hapa mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya Makete wanavuta pumzi kidogo (Picha zote na Riziki Mgaya wa rizikimgaya.blogspot.com)








