BREAKING NEWS:MPIGA BASS WA MSONDO MUSIC BAND AFARIKI DUNIA



Mpiga bass wa bendi kongwe Msongo Ngoma, Ismail Mapanga amefariki katika hospitali ya Temeke jioni hii. 

Mapanga aliaanza kuumwa wakati bendi ikiwa safarini katika safari yao mkoani Tabora karibuni. Taratibu za mazishi zitawekwa hapa mara zitakapopatikana.

Mungu amlaze pema peponi Amin


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo