skip to main |
skip to sidebar
SAED KUBENEA KUGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CHADEMA
Mwandishi
wa habari wa gazeti la Mwanahalisi Saed Kubenea, inasemekana
amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka
2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa na Silvestry Koka [CCM].
Hii itakuwa habari njema kwa tasnia ya habari kujiingiza katika masuala
ya uongozi wa kisiasa, Kubenea kapata msukumo wa kugombea Ubunge baada
ya kushauriana na Dr Slaa na kumuakikishia kuwa anaweza kushinda Ubunge
Jimbo la Kibaha Mjini kama akijipanga vizuri na kupata msaada wa
CHADEMA.
Kila la Heri Saed Kubenea.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi