Rais Mstaafu Mhe. Benjamin
Mkapa (kulia) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji
Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani (katikati) na Dkt. Salim Ahmed Salim.
Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu leo (Jumatano, Jan 16,
2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na uzoefu wake katika
uandishi wa Katiba Mpya.
RAIS MKAPA NA MZEE MSUYA WATOA MAONI YAO KUHUSU KATIBA MPYA
By
Unknown
at
Wednesday, January 16, 2013