MTANZANIA AMTANDIKA MKENYA KWENYE NDONGA ZA UBINGWA WA AFRIKA MASHARIKI USIKU.

Bondia Mtanzania Thomas Mashali k(ushoto) akimgaragaza bondia Bernad Mackoliech, na kwenda chini akimsubili ili amwendelezee kipondo wakati wa mchezo wao wa kugombania ubingwa wa Afrika Mashariki uliofanyika kwenye ukumbi wa Friends Conner, Manzese jijini Dar es Salaam na Mashali kuibuka na ushindi wa K,O katika raundi ya sita.
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza kwenye mpambano huo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi wa kinondoni Charles Kenyela akimvisha mkanda wa ubingwa wa Afrika Mashariki bondia Thomas Mashali baada ya kumpiga Bernad Mackoliech wa Kenya kwa K,O Raundi ya 6.
Chezea ndonga weweeeeee!
Refarii Mark Hatia akimwesabia Bondia Bernad Mackoliech huku akimwamuru Thomas Mashali kwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo