skip to main |
skip to sidebar
MATOKEO YA WACHAGA WALIOKWENDA KUHESABIWA MOSHI 2012 HAYA HAPA

Matokeo ya wachaga walioenda kwao kuhesabiwa:-
1.Kibosho- 90%
2.Marangu- 70.5%
3.Machame- 69.6%
4.Rombo-98.8%
5.Old Moshi- 50%
WALIOONGOZA KWA KULA MBUZI NA KUNYWA MBEGE
1.Kibosho mbuzi 400,000 na mbege debe 600,000.ukoo unaoongoza ni MUSHI
2.Marangu mbuzi 300,310 na mbege debe 513,000.ukoo unaoongoza ni MOSHI
3.Machame mbuzi 300,001 na mbege debe 420,000. Ukoo unaoongoza ni MASSAWE
4.Rombo mbuzi 200,204 na mbege debe 260,923.Ukoo unaoongoza ni LASWAY na TARIMO
5.Old Moshi mbuzi 259,610 na mbege debe 248,116.Ukoo unaoongoza ni Mlay.
MUNGU AWABARIKI WACHAGA WOTE NA AWAPE MAISHA MAREFU.HAWA WATU NI HATARI.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi