Na Francis Godwin
Jinamizi la ajali limeendelea kuwaandama viongozi wa juu serikali na vyama baada ya juzi waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa kunusurika kifo katika ajali iliyotokea eneo la Bwawani mkoani Morogoro ,Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP ) Said Mwema leo amenusurika kifo baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kupinduka.
