Afisa
wa Magereza
wa Gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam, Gibson Mwakibibi
akiwaonyesha mfuniko
wa Hotpot (Chombo cha kuhifadhia chakula) pamoja na Radio Kamati ya
Bunge ya
Ulinzi na Usalama ambapo vifaa hivyo vinatumika kuficha simu, visu,
bangi na
vifaa mbalimbali ambavyo ni hatari kwa usalama wa Mahabusu na wafungwa.
Vifaa
hivyo vilikuwa vinaingizwa na mahabusu hao pmaoja na baadhi ya ndugu zao
wanapopeleka chakula gerezani hapo. Hata hivyo, maafisa magereza kwa
kutumia chombo
cha kugundulia vifaa mbalimbali (Metal Detector) kinachotumika gerezani
hapo huvikamata
vifaa hivyo.
|