Filamu aliyoigiza marehemu Sajuki na mke wake
Wastara ‘Kivuli’ leo
imeingia sokoni rasmi. Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na
kusambazwa na kampuni ya Steps imewahusisha pia waigizaji Slim Omary na
Mohammed Said.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube