BREAKING NEWS: JAHAZI LAZAMA NUNGWI HII LEO

Breaking News: Jahazi SUNRISE ambayo ilikuwa ikitokea Mkoani Tanga kulekea visiwani Zanzibar ikiwa na abiria 32 imezama eneo la Nungwi huku jitihada za kuwaokoa abiria hao zikiendelea kufanywa na maafisa wa uokoaji mpaka sasa.
SOURCE:ITV


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo