Baadhi ya wakereketwa wa CCM katika picha ya
pamoja nje ya ofisi ya CCM Kawe. Kutoka kushoto ni Katibu Mwenezi wa
tawi la Umbwelani Kawe- Ramadhani Malenge, Katibu wa Wazazi Kawe- mama
Katenda, mgombea nafasi ya ukatibu UVCCM kata ya Kawe – Sambili Tegemeo
na mgombea nafasi ya Uenyekiti UVCCM kata ya Kawe - Amani Nkurlu.Picha
na Josephat Lukaza
Mgombea
nafasi ya Uenyekiti wa UVCCM kata ya Kawe Amani Nkurlu (kulia)
akirudisha fomu ya kugombea nafasi hiyo kwa Katibu wa UVCCM kata ya Kawe
Bi. Aisha Katundu.
Katibu
wa UVCCM kata ya Kawe Bi. Aisha Katundu (kushoto) akipokea fomu
aliyoijaza Bw. Amani Nkurlu kwa nafasi ya kugombea Uenyekiti UVCCM kata
ya Kawe alipofika ofisini hapo leo saa 7 mchana.
Mgombea
wa Uenyikiti wa UVCCM kata ya Kawe, Amani Nkurlu, akizungumza machache
na Katibu wa CCM Kawe Bi. Aisha Katundu katika ofisi za CCM Kawe.
Amani Nkurlu akijaza fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa UVCCM kata ya Kawe.