RADIO HIZI ZINABADILI MASAFA YAKE

Tukiwa tunakaribia kuingia mwaka mpya 2013, imeonekana kuwa karibu TV Stations na Radio Stations Analouge kwenda katika masafa mapya ya Digital. 

Kwa wale watakao tumia Radio hawata husika na unununzi wa ving'amuzi ila itawabidi wabadili masafa mengine mapya tofauti na yale waliyokuwa wameyazoea. 

Kuna baadhi ya Radio zimeeshaanza kutangaza masafa yao mapya ambayo watakayoanza kutumia ifikapo hapo January 2013, Radio zenyewe ni pamoja na Clouds FM wa watakuwa wakipatikana kwenye masafa ya 88.5 FM badala ya 88.4 FM East Africa Radio pia itapatikana kwenye masafa ya 88.1 FM badala ya 87.8 FM. ambayo ndio ya sasa
 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo