
Mdau Herman Berege leo amekutana na ajali hii iliyotokea katika kona za mlima wa Kitonga mkoani Iringa,iliyokutanisha lori hili linaloonekana na Basi la Abiria la Kampuni ya Sumry.kwa mujibu wa mashuhuda inasemekana Lorry hilo lili 'fail brake' na kuliparamia basi la Sumry ambalo lilikuwa likipandisha mlima huo,likiwa safarini kwenda Songea.
Ajali hii imetokea jana mchana na haijafahamika ni watu wangapi wamepoteza maisha katika ajali hiyo.


Basi la Sumry lionekanavyo baada ya kutokea kwa ajali hiyo.