Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsalimia Padri Ambrose Mkenda, wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae
Zanzibar, leo Desemba 30, 2012 aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya
Mifupa Muhimbili (MOI) kutokana na majeraha aliyoyapata kwa kujeruhiwa
na risasi na watu wasiojulikana wakati akiwa getini akisubiri kuingia
nyumbani kwake mjini Zanzibar hivi karibuni. Kulia ni Muuguzi mwangalizi
wa mgonjwa huyo, Namsifu Fue. Picha na
OMR
|