Mwigizaji maarufu nchini Nigeria Pichani anayejulikana kwa jina la
Enebeli Elebuwa amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko India ambako
alikuwa akipatiwa matibabu.
Marehemu enzi za uhai wake.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube