Mchungaji
Kiongozi wa Mikocheni b,Dr Rwakatare siku ya Jumapili alikuwa akifanya
uzinduzi wa Nyumba yake mpya iliyoko Mbezi beach pembezoni mwa Bahari ya
hindi.Uzinduzi huu ulikuwa wakadi maalumu kwa baadhi ya washirika wake
na
marafiki wa karibu na familia hii.Sherehe ya uzinduzi huu ilipambwa na
Mc na Mtangazaji wa Clouds Fm Harris Kapiga.
Endelea kutazama picha zaidi
Akiwakaribisha wageni kuona uzuri wa nyumba yake.
Chumbani sehemu ya kujipamba.