Wazee wa chama cha mapinduzi (CCM) wilayani Makete Mkoani Njombe wanatarajia kuzungumza na waandishi wa habari mchana huu katika ofisi za chama hicho wilaya
Akizungumza na mtandao huu Katibu wa CCM wilaya ya Makete Miraji Mtaturu amesema wazee hao walikuwa na kikao chao cha ndani na hivyo wanataka kuutangazia umma kile kilichojiri
Taarifa zaidi endelea kuufuatilia mtandao huu!