Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (aliyevaa pama katikati)
akihojiana na abiria alipofanya ukaguzi ywa kushitukiza katika Stesheni
ya TRL, Dar es Salaam leo kujionea matatizo yaliyojitokeza baada ya
usafiri wa abiria jijini kuanzishwa wiki hii.
Mwakyembe akitoa maelekezo
Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (kushoto),akimwelekeza jambo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Kipallo
Kisamfu, wakati alipofanya ziara ya kushitukiza Stesheni ya Reli hiyo
Dar es Salaam leo jioni, kujionea changamoto zilizopo baada ya kuanza
kwa safari za treni hiyo ya abiria kutoka katikati ya Jiji hadi Ubungo
Maziwa.(PICHA NA DOTTO MWAIBALAE)
WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA TRENI YA ABIRIA DAR
By
Unknown
at
Thursday, November 01, 2012